Uganda yajiandaa kuzalisha mafuta mwaka 2025
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2023-12-07
Просмотров: 565
Описание:
Uchimbaji wa mafuta nchini Uganda unaendelea katika maeneo ya visima ya Kingfisher na Tilenga magharibi mwa nchi hiyo.
Idadi ya mapipa 230,000 yanatarajiwa kuzalishwa kila siku katika maeneo hayo mawili na kutakuwepo na bomba linalosafirisha mafuta hadi nchi jirani ya Tanzania.
Licha ya ukosoaji, serikali imeeleza kuwa imeshughulikia masuala yote juu ya athari za kimazingira zinazoweza kujitokeza kutokana na mradi huo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: