E HABARI/ WAUMINI WA DINI YA KIISLAM WAHIMIZWA MSHIKAMANO JAN 31 2026
Автор: EFM TANZANIA
Загружено: 2026-01-31
Просмотров: 42
Описание: RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amewanasihi Waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi hapa Nchini kushikamana, kuishi kwa Umoja na kusaidiana baina yao ili kupata Baraka za Mwenyezi Mungu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: