JUDE KIMOSI - MOYO WANGU (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
Автор: Jude Kimosi
Загружено: 2025-04-25
Просмотров: 4196
Описание:
There is no remedy for love but just loving more.#judekimosi #treanding #love #africanmusic #fypシ゚viral #otilebrown #trending
Sportfy:https://open.spotify.com/track/4LGCXX...
Boomplay: https://www.boomplay.com/share/album/...
APPLE MUSIC: / moyo-wangu
LYRICS
Uuuuh uuuh uuh uuh uuh
Olala lala lalaaaaaa
Eeeeh eeeh eeeh ie
Eeeh eeeh eeeh ie
Oooh.,,,,,Jk
Kauli yangu kusaka ni yeye,
Nikipata riziki nashare nayeye,
Hana lawaaaama,
Yaani roho yangu yampendea,
Mwenye utu
Hapendi kununa kama haujamchokoza
Maringo yake si dharau,
Ananionyesha mapenzi angalau
Nisije angalia wengine tamau,
Yaani ki mimi,
Hajampata yeyote anayempenda kama mimi,
Michezo yake akiwa na Mimi
Inaonyesha ananipenda mimi
Wewe ni waangu,
Wa moyo waangu,
Wewe ni waangu,
Wa moyo waangu,
Wewe ni waangu,
Wa moyo waangu,
Wewe ni waangu,
Wa moyo waangu
Ulivyo mpole mwenyewe ndo unajua,
Na mungu kakuleta kwangu kaniweka nawe unajua,
Ukiniacha mwenzio mi pekeyangu ntalia,
Maana ya upendo tunaujua wenyewe
Kwa magonjwa sitaki panado nado
Kwa wote tunago tunago
Michezo ronaldo nado,
Ooh mama mama⁵
We ndiye mi ninanyetaka
Nawe unanitaka,
Kama ninavyotaka
Na moyo wangu umeupata,
Usiutupe kwa taka
Yaani umenipata,
Ulivyo mpole mwenyewe ndo unajua,
Na mungu kakuleta kwangu kaniweka nawe unajua,
Ukiniacha mwenzio mi pekeyangu ntalia,
Maana ya upendo tunaujua wenyewe
Kwa magonjwa sitaki panado nado
Kwa wote tunago tunago
Michezo ronaldo nado,
Ooh mama mama⁵
We ndiye mi ninanyetaka
Nawe unanitaka,
Kama ninavyotaka
Na moyo wangu umeupata,
Usiutupe kwa taka
Yaani umenipata,
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: