Download and Install Python step by step | In Swahili
Автор: Mohamed Hafidh Tz
Загружено: 2024-01-03
Просмотров: 2218
Описание:
Jinsi ya KuDownload na KuInstall Python kwa watumiaji wa Window.
Fahamu jinsi ya kuangalia kama Computer yako tayari ipo na python imekuwa installed na kuweza kutumia.
Katika video hii tutafahamishana jinsi ya Kuinsta Python na kuset environment ya machine yako ili iwe rafiki kwa ajili ya kufanya python programming.
Jifunze Python Programming Kuanzia Mwanzo:
• 1. Python kwa Beginner: Jinsi ya kuandika...
Jinsi ya Ku Install VSCode Editor
• Installing Visual Studio Code | Step by st...
Karibu katika channel yangu!
Ninaitwa Mohamed Hafidh, na ninafurahi kuwa nawe hapa.
Kwenye channel yangu, utapata video za kuvutia kuhusu mambo mengi, ikiwa ni pamoja na teknolojia, afya, mazingira, sayansi, motisha, na mengi zaidi.
Ninaamini kwamba kila mtu ana uwezo wa kujifunza na kukua, na ninatumai video zangu zitakusaidia kufikia malengo yako.
Ili kupata taarifa mpya za video zangu, tafadhali:
👉 Bonyeza kitufe cha subscribe
👉 Washa kengele ili upate taarifa za video mpya
Pia, unaweza kunifuata kwenye mitandao ya kijamii ili kujua zaidi kuhusu mimi na kazi yangu.
Natumai utapata manufaa katika video zangu, na ninashukuru kwa kuwa sehemu ya community yangu!
Ikiwa unataka kujua zaidi kuhusu mimi, tafadhali tembelea:
Instagram: / mohamedhafidh_tz
Tiktok: / mohamedhafidh_tz
#download #installation #python
Youtube
https://www.youtube.com/@mohamedhafid...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: