KIZUNGUMKUTI MABUCHA YA NYAMAPORI, TAWA YAFUNGUKA KINACHOWASIBU WAFANYABIASHARA "WANYAMA HAKUNA"
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-06-06
Просмотров: 9548
Описание:
Moja kati ya taarifa tuliyonayo ni kutokea kwa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (Tawa) ambayo imetoa ufafanuzi kuhusu suala la kufungwa kwa Mabucha ya Nyamapori kutokana na changamoto ya upatikanaji Wanyama Katika vitalu vya uwindaji.
Akizungumza mkoani Morogoro, Kaimu Kamishina wa Uhifadhi (TAWA), Mabula Nyanda amesema takribani leseni 31 ambazo zilitolewa kwa wafanyabiashara kuanzisha Mabucha ya Nyamapori lakini hadi sasa ni Mabucha 8 ambayo yanafanyakazi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: