Ripoti ya upasuaji yaonyesha msichana wa miaka 12 alidhulumiwa kabla ya kuuawa Embakasi
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2025-12-09
Просмотров: 11398
Описание: Ripoti ya upasuaji wa maiti ya msichana wa miaka 12 aliyepatikana ameuawa eneo la Embakasi jumamosi iliyopita imeonyesha kuwa alidhulumiwa na kubakwa kabla ya kunyongwa. Upasuaji huo ukionyesha kuwa mwili wa Patience Mumbe ulikuwa na majeraha mengi kichwani na hata mwilini
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: