AJALI ARUSHA: DEREVA WA GARI YA SERIKALI, AMGONGA BODABODA MASHUHUDA WASIMULIA
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2024-03-19
Просмотров: 5916
Описание:
#ikuluzanzibar #ccm #samiasuluhuhassan #habarimaelezo #ktnnews #wizarayahabari #wizarayakilimo #wizarayaafya #wizarayaulinzi
ARUSHA: Ni tukio la ajali iliyosababishwa na uzembe wa dereva wa gari la Serikali Lenye usajili wa naomba STL 6638 kutokusimama katika eneo la Mataa ya Tripple A Jijini Arusha
Mashuhuda wa tukio hilo wameiambia daily news digital kuwa gari hilo lilikuwa linatokea barabara ya ngaramton - Mianzini, ambapo taa za barabarani eneo la "Tripple A" upande wa Barabara ya Arusha Technical zilikwisha kuruhusu magari Kupitia hivyo dereva wa gari la Serikali akaamuwa Kupitia ikiwa upande wake haujaruhusiwa
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: