ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

"WATAPATA TABU SANA " Wahamiaji Haramu 40 Waliokamatwa Dodoma!

RPC DODOMA

KAMANDA MUROTO

GILLES MUROTO

JACKSON KITOMA

ABEID RAPHAEL NYOMOLELO

RAMADHANI HUSSEIN

SALUMU MAWAZO

WAHAMIAJI HARAMU

GLOBAL TV ONLINE

Автор: Global TV Online

Загружено: 2018-07-04

Просмотров: 37497

Описание: "Watapata Tabu Sana" Wahamiaji Haramu 40 Waliokamatwa Dodoma!

JESHI la polisi mkoani Dodoma limekamata Wahamiaji haramu 40 Raia wa Ethiopia pamoja na Watanzania wanne waolikuwa wakiwasafirisha Wahamiaji hao.

Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa polisi mkoani hapa Gillis Muroto alisema, Wahamiaji hao walikamatwa katika barabara kuu ya Dodoma kuelekea Arusha kijiji cha Kuhi kata na tarafa ya Bereko Wilayani Kondoa.

Kamanda Muroto Alisema Wahamiaji hao walisafirishwa na gari lenye namba za usajili T. 898 AHM na tela namba T. 422 ADD aina ya Scania mali ya Kampuni ya SANVIC LTD.

Watanzania waliokuwa wanawasafirisha Wahamiaji hawa ni Dereva Julius Jackson Kitoma(57) Mnyaturu na mkazi wa Ngarenaro Arusha, Abedi Raphael Nyomolelo (20) Utingo wa gari hilo na Mkazi wa Sakina Arusha.

Wengine ni Ramadhani Salumu Mawazo (39)Mzaramo pia mkulima na mkazi wa Mbagala Dar es Salaam pamoja na Juma Ramadhani Husei (46) Mzigua, mkulima na mkazi wa Kinyerezi Dar es Salaam, "aliwataja Muroto.

Aidha alisema kuwa Watuhumiwa hao walitumia mbinu ya kuwafungia Wahamiaji hao kwenye Contena la Mizigo, wakiwachanganya na bidhaa walizokuwa wakizisafirisha ambazo ni maboksi yenye Vizibo vya Soda na bia kutoka Namanga- Arusha kuelekea Mbeya

Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe    / uwazi   FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1  

Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…    / uwazi1      / uwazi1      / uwazi1   WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   INSTAGRAM:   / globalpubli  .

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
"WATAPATA TABU SANA " Wahamiaji Haramu 40 Waliokamatwa Dodoma!

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

🔴#Live:VITA YA IRAN NA ISRAEL BADO NGOMA NGUMU: MAREKANI YATAKA MAZUNGUMZO, ISRAEL YASHINDWA?

🔴#Live:VITA YA IRAN NA ISRAEL BADO NGOMA NGUMU: MAREKANI YATAKA MAZUNGUMZO, ISRAEL YASHINDWA?

Wanajeshi feki walivyoingia kwenye 18 za Polisi Dodoma

Wanajeshi feki walivyoingia kwenye 18 za Polisi Dodoma

"SIWAOGOPI ENDELEENI KUNIWINDA" IMEBAINIKA KUNA WATU WANAPANGA NJAMA MBAYA KWA WAZIRI MKUU

NINI KIMEMKUTA WAZIRI MKUU WA TANZANIA?,

NINI KIMEMKUTA WAZIRI MKUU WA TANZANIA?, "SIWAOGOPI ENDELEENI KUNIWINDA", WAVAA VIKALI WAZEMBE

🔴#Live Bungeni: KUMECHANGAMKA - BABA LEVO AWAVUNJA MBAVU - WABUNGE HOI... | DODOMA

🔴#Live Bungeni: KUMECHANGAMKA - BABA LEVO AWAVUNJA MBAVU - WABUNGE HOI... | DODOMA

Самые Нелепые Ошибки Рабочих, Снятые на Камеру

Самые Нелепые Ошибки Рабочих, Снятые на Камеру

ABDUSHAKUR - ''UWEZO wa IRAN UMEANGAMIZWA - WANATUMIA DRONES TU - MIFUMO ya KUJILINDA IMEHARIBIWA''

ABDUSHAKUR - ''UWEZO wa IRAN UMEANGAMIZWA - WANATUMIA DRONES TU - MIFUMO ya KUJILINDA IMEHARIBIWA''

Hotuba ya uzinduzi wa Bunge la 11 dodoma Nov 20,2015

Hotuba ya uzinduzi wa Bunge la 11 dodoma Nov 20,2015

They Laughed at the Cleaner… Until 500KG Happened 🔥

They Laughed at the Cleaner… Until 500KG Happened 🔥

LEMA Asimulia GWAJIMA ALIVYOMWAMBIA LISSU

LEMA Asimulia GWAJIMA ALIVYOMWAMBIA LISSU "Usiende Dodoma, Utapigwa RISASI"

VIDEO INAYOSAMBAA ya MTOTO AKINING'INIZWA DIRISHANI kwa KUUNGUZA MBOGA - POLISI WAMKAMATA MJOMBA...

VIDEO INAYOSAMBAA ya MTOTO AKINING'INIZWA DIRISHANI kwa KUUNGUZA MBOGA - POLISI WAMKAMATA MJOMBA...

Операция Запад: Почему в России обсуждают направление на Кишинёв - Аналитический обзор

Операция Запад: Почему в России обсуждают направление на Кишинёв - Аналитический обзор

Борзые Качки получают по заслугам

Борзые Качки получают по заслугам

🔴#LIVE : [04.03.2026] OPERATION  KOMBOA FAMILIA  ( MAOMBI 12).

🔴#LIVE : [04.03.2026] OPERATION KOMBOA FAMILIA ( MAOMBI 12).

😮 Показали кадри з телефону окупанта-розвідника

😮 Показали кадри з телефону окупанта-розвідника

Dakika 59 Kishimba akimwaga Nondo akizungumza na wanafunzi wa mwaka wa tatu UDOM

Dakika 59 Kishimba akimwaga Nondo akizungumza na wanafunzi wa mwaka wa tatu UDOM

75 Невероятных Моментов в Авиации, Снятых на Камеру

75 Невероятных Моментов в Авиации, Снятых на Камеру

ABDUSHAKUR ABOUD -

ABDUSHAKUR ABOUD - "MAREKANI WAMEVURUGA JESHI - WAMEHARIBU MAKOMBORA ya IRAN - TRUMP HAJALI"...

"Przekroczyli wszystkie czerwone linie". Kraje Bliskiego Wschodu grożą odwetem

6 МЕГАМАШИН ДРЕВНОСТИ, о которых молчит история.

6 МЕГАМАШИН ДРЕВНОСТИ, о которых молчит история.

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]