MWANAFUNZI AUWAWA KWA KIPIGO NA MWALIMU
Автор: Mtaa Salama
Загружено: 2025-03-05
Просмотров: 21395
Описание:
Licha ya kuwa na miongozo na taratibu za adhabu kwa wanafunzi, hali bado ni tete kwa baadhi ya shule na walimu wanao chukulia adhabu za kuwaelekeza wanafunzi wanapokosea kuwa ni sifa.
Mtaa Salama tunalaani adhabu zinazokuwa na sura ya ukatili kwa watoto na tunaomba mamlaka ya Jeshi la Polisi kuwatia mbaroni wahusika wote.
Adhabu kandamizi ni adui mkubwa katika sekta ya Elimu.
cc
Global Tv
#mtaasalama #news #utunihazina #childrenrights #parenting #pingaukatiliwakijinsia
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: