KARAMU-NYAKABUNGO SDA CHOIR [OFFICIAL VIDEO]
Автор: NYAKABUNGO SDA CHURCH-TZ
Загружено: 2025-07-19
Просмотров: 1839
Описание:
Baada ya dhiki nyingi za hapa dunia siku yesu akirudi kutuchukua kwenda mbinguni tutasahau masumbufu yote,
kutakuwa na furaha kuu kwa waliokombolewa tutakula vinono kwenye meza ndefu ya kioo kwenye sherehe ya mwanakondoo, karibu ubarikiwe na ujumbe wa wimbo huu.
DETAIL
Song composer: Revocatus Kaitila
Vocal arrangement: Teddy wanyanja & Revocatus Kaitila
Audio:Home G Studio
Producer:Johnson Pro
Video: A creative Films
Director: Abby.
Kupata album nzima wasiliana nasi kwa simu no
+255 763 856 863
+255 754 029 424
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: