MSI TANZANIA, MISUNGWI CDTTI WATOA SEMINA KWA VIJANA
Автор: BMG ONLINE TV
Загружено: 2026-02-13
Просмотров: 39
Описание:
MSI TANZANIA, MISUNGWI CDTT WATOA SEMINA KWA VIJANA
Taasisi ya MSI Tanzania kwa kushirikiana na Chuo cha Maendeleo ya Jamii Ufundi Misungwi (Misungwi CDTTI), imetoa semina kwa vijana ili kuwajengea uelewa kuhusu masuala mbalimbali yakiwemo ya afya ya uzazi, afya ya akili, ukatili wa kijinsia na fursa za kiuchumi.
Semina hiyo imefanyika Ijumaa Februari 13, 2026 katika ukumbi wa chuo cha Misungwi CDTTI ikijumuisha wanafunzi wa chuo hicho na pia kutoka shule jirani.
Akifungua semina hiyo, Mkuu wa Chuo cha Misungwi CDTTI, Arch. Charles Achuodho amesema vijana wa kike na kiume wakijengewa uwezo mapema watasaidia jamii kuwa na kizazi chenye nguvu, maadili na matumaini kwa maendeleo yao na taifa kwa ujumla.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: