Habari za Wiki kutoka Swahili Voice (London) 14 09 2025
Автор: Swahili Voice
Загружено: 2025-09-14
Просмотров: 590
Описание:
Muhtasari
Miongoni wa utakayashuhudia katika Habari zetu hapa Swahili Voice wiki hii
• Waziri wa Mambo ya Nje nchini Tanzania, Mhehsimiwa Mahmoud Thabit Kombo azungumza na dayaspora ya Tanzania jijini London. Je ni yapi yalizungumzwa huko? Baki nasi hapa Swahili Voice ufaidike.
Na huko Afrika ya Mashariki wiki hii mambo yanazidi kupamba moto ambapo wiki hii tunazo taarifa tete za:
• Mtoto mdogo atajwa kubakwa na Jirani yake na hatimaye mzozo mkubwa kuzuka huko Bonde la ufa nchini Kenya.
• Nchini Burundi wajiandaa kukaribisha amshindano ya mpira wa miguu ya CECAFA kwa watu wenye Ulemavu Afrika Mashariki
Kwa hayo na mengineyo mengi usikose kujumuika nasi katika taarifa yetu hii ya Habari hapa Swahili Voice Pekee
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: