NITUMIE KAMA UPENDAVYO | D.KASHATILA | MT.DON BOSCO NIT
Автор: Don Bosco NIT
Загружено: 2023-06-05
Просмотров: 30341
Описание:
Karibu kutazama wimbo uliyobeba albamu ya kwaya ya Mt. Don Bosco NIT.
Wimbo unatualika sote tuitii sauti ya Mungu ituitapo katika miito mbalimbali ndani na hata nje ya kanisa.
Tukubali kuitikia sauti yake na kutimiza mapenzi yake mwenyezi Mungu
Karibuni
#kwayakatoliki #jugomedia #miito #kanisakatoliki #radiomaria #nyimbozainjili #nyimbozadini #donbosco #donboscomedia #nit #donbosconit
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: