ISRAEL MBONYI X CHRISTINA SHUSHO_NASHUKURU
Автор: PRODUCER JT RAF .356k views.3hrs ago
Загружено: 2026-03-12
Просмотров: 2415
Описание:
[verse1]
Baba nimeona leo,
nirudishe shukrani zAangu,
kwa yale umenitendea,
naona ni kama ni ndoto,
hakika washangaza,
na ujawai chelewa,
mingi shida nilizo ona,
umenivukisha daraja,
[verse2]
niseme nini baba,
kwa wingi wa rehema zako,
baraka zako ni kama mvua,
waninyunyuzia kila siku,
[chorus]
leo Baba eeeh,
nakupa shukrani zangu,
umeniinuwa baba eeh,
na kunirehemu mimi,
nikupe nini baba yangu,
kwa kuniokota mchangani,
(asante,asante,)
nasema asante,
nashukuru, nashukuru,
nashukuru baba yangu (oooh....)
[instrumental]
[verse3]
Watoto walilia njaa,
ata chakula ilikuwa shida,
ila Mungu haukuniacha,
uliyaona machozi yangu,
japokuwa sistahili mimi,
umenivisha heshima kubwa,
kwa wingi wa huruma wako,
umeniinuwa baba yangu,
[bridge]
niseme nini baba,
kwa wingi wa rehema zako,
baraka zako ni kama mvua,
waninyunyuzia kila siku,
[chorus]
leo Baba eeeh,
nakupa shukrani zangu,
umeniinuwa baba eeh,
na kunirehemu mimi,
nikupe nini baba yangu,
kwa kuniokota mchangani,
(asante,asante,)
nasema asante,
nashukuru, nashukuru,
nashukuru baba yangu (oooh....)
[instrumental]
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: