Operesheni za usalama eneo la Bonde la Ufa zaendelea kuzaa matunda
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2026-01-24
Просмотров: 169
Описание:
Serikali imetoa wito kwa viongozi wa kidini na jamii za humu nchini kushirikiana katika kudumisha amani na kuunga mkono mipango ya maendeleo huku operesheni za usalama katika eneo la Bonde la Ufa zikiendele kuzaa matunda. Hata hivyo, Katibu katika wizara ya usalama wa taifa Dkt. Raymond Omollo, amesema kuwa Amani inaweza kudumishw kupitia ushirikiano wa jamii pekee,
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: