MARUFUKU WENYEVITI WA MITAA,VIJIJI NA VITONGOJI KUJISHUGHULISHA NA UUZAJI WA ARDHI
Автор: Fullshangwe tv
Загружено: 2021-01-12
Просмотров: 3861
Описание: Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha wanashusha usimamizi wa masuala ya ardhi kwa watendaji wa mitaa na vijiji na sio kwa wenyeviti wa mitaa na vijiji kama ilivyo sasa ili kuepuka migogoro ya ardhi, ujenzi holela na kurahisisha ufuatiliaji makusanyo ya kodi ya pango la ardhi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: