Goodluck Msuya - Neema ya Mungu Ni kubwa Mno | Live Ibada ya Mkesha AICT Changanyikeni
Автор: AICT Changanyikeni Church
Загружено: 2022-08-06
Просмотров: 17908
Описание:
Goodluck Msuya Akihudumu katika Ibada ya Mkesha
Kanisani AICT Changanyikeni 05-08-2022
Mkesha: Kuombea Afya kiroho na Kimwili
Neno: Matendo 2:1-4 na Daniel 1:5
Muhubiri: Benjamin Budigila.
Ratiba za Ibada
Ibada ya Jumapili Saa 3:00 Asubuhi - 6:30 Mchana
Jumanne (Ibada ya Maombi) Saa 11:00 Jioni - 12:00 Jioni
Jumatano (Bible Study) Saa 11:00 Jioni - 12:00 Jioni
Alhamis (Ibada ya Vijana) Saa 11:00 Jioni - 12:00 Jioni
Ijumaa (Ibada ya Wanawake) Saa 11:00 Jioni - 12:00 Jioni
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: