BGRIM HQ REVIVAL CHOIR (OFFICIAL VIDEO)
Автор: BGRIM HQ REVIVAL CHOIR🎚
Загружено: 2026-02-21
Просмотров: 657
Описание:
#official BGRIM REVIVAL CHOIR
karibuni kuskiliza na kutazama wimbo huu mpya unaoenda kwa jina la BWANA NIINUE,Maudhui ya wimbo huu ni kuwafanya watu walio vunjika mioyo kuinuka tena na kumtumikia Mungu kwani Mungu hajawahi kushindwa na chochote,Lakini pia kutoa ushauri kwa wale ambao wanahama makanisa moja baada ya jingine kutafuta upako ili hali Mungu ni yuleyule ukimuamini anatenda kwako alitenda jana,anatenda leo,atatenda kesho na milele atatenda Mungu akubariki unaposkilza wimbo huu
SONG:BWANA NIINUE
SONG WRITER:ADMERA KASIANO
PRODUCER:BETHAEL NSUMYI PRODUCTION
DIRECTED BY BETHAEL NSUMYI
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: