Babalevo aanza kazi ya kulifufua Soko la Ujiji Kigoma na kuboresha miundombinu ya soko hilo
Автор: SamMisago
Загружено: 2025-11-22
Просмотров: 4120
Описание:
Leo Novemba 22, Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Babalevo amefika katika Soko la Ujiji akiwa na wakandarasi kwa ajili ya kuandaa mpango wa kulifufua na kuboresha miundombinu ya soko hilo, soko ambalo hapo zamani lilifanya vizuri sana.
Baba Levo ameanza ziara maalum ya kutembelea masoko aliyoyaahidi kuboresha, ikiwemo Soko la Ujiji. Masoko mengine aliyoyatembelea leo ni Soko la Marungu lililopo Mwanga, Soko la Kwa Noti, pamoja na Soko la Gungu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: