Jeshi la DRC laitaka Rwanda na waasi wa M23 kuondoka maeneo wanayokalia
Автор: VOA Swahili
Загружено: 2022-12-27
Просмотров: 835118
Описание:
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) laeleza masikitiko yake kuona waasi wa M23 wanaendelea na mashambulizi dhidi yao. Msemaji wa jeshi anaeleza kuwa waasi wa M23 na jeshi la Rwanda linapaswa kuondoka katika maeneo ya DRC na kurudi kule walikotokea. Ungana na mwandishi wetu kusikiliza repoti kamili ikieleza hali ya usalama ilivyo katika maeneo mbalimbali ambayo bado yanakaliwa na waasi wa M23. Endelea kusikiliza...
#jeshi #drc #jamhuriyakidemokrasiayakongo #mashambulizi #msemaji #rwanda #m23 #waasi #voa #voaswahili #dunianileo
- - - -
#VOASwahili
Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: