NINI KINATOKEA MTU ANAPOAMUA KUOKOKA 2 - Pastor Carlos Kirimbai
Автор: Carlos Kirimbai
Загружено: 2019-09-10
Просмотров: 1657
Описание: Karibu kushiriki ibada kanisa la MANNA TABERNACLE BIBLE CHURCH (MTBC). Kanisa linakutanika Posta mpya mtaa wa kisutu jijini Dar es salaam, Ukumbi wa shule ya msingi Kisutu. Tunakutana kila jumapili kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 7 mchana. Tunashawishika kukutangazia Maisha yako hayatabaki kama yalivyokuwa.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: