MZIMU WA MAMA FULL MOVIE – Bongo movie | Prince media | Swahili Movie
Автор: Prince Media
Загружено: 2026-03-14
Просмотров: 1105
Описание:
MZIMU WA MAMA PART 1 – Full Movie (Swahili Movie)
Baada ya kifo cha mama yao katika mazingira ya kutatanisha, familia moja inaanza kushuhudia matukio ya ajabu na ya kutisha usiku. Sauti zisizoeleweka, vivuli vinavyotembea na ndoto za kutisha vinaanza kuwatesa watoto wake.
Je, kweli ni mzimu wa mama yao unaorudi kulinda familia yake?
Au kuna siri nzito iliyofichwa nyuma ya kifo chake?
Katika filamu hii ya kusisimua ya maisha ya uswahilini, utaona mapambano ya familia, siri zilizofichwa na nguvu za ajabu zinazotokea baada ya kifo.
Tazama mpaka mwisho ujue ukweli wa MZIMU WA MAMA.
🔥 Usisahau:
Subscribe kwenye channel
Like na Comment
Share kwa marafiki zako
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: