UTEKELEZAJI BIMA YA AFYA KWA WOTE RC MACHA AFUNGUA MAFUNZO SIMIYU | SIKU 100 ZA RAIS SAMIA
Автор: Jambo FM Radio Tanzania
Загружено: 2025-12-19
Просмотров: 195
Описание:
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Anamringi Macha amefungua mafunzo kwa watumishi wa kada mbalimbali ikiwepo kada ya afya ambayo yanalenga utekelezaji wa Bima ya afya kwa wote ikiwa ni ahadi ya Rais Samia Suluhu Hassan kwamba ndani ya siku Mia moja tangu kuapishwa kwake atahakikisha mpango Huo unatekelezwa
Macha amezungumza hayo katika ukumbi wa halmashauri ya mji wa Bariadi mkoani Simiyu na kuwataka watumishi wao wafanye kazi kwa weledi huku wakiendelea kuwapa elimu wananchi juu ya Bima hiyo ambayo familia ya watu Sita italipia kiasi cha shilingi laki moja na nusu (150000) kupata huduma Bora
Aidha Macha amewaambia wananchi wa mkoa huo kukaa mkao wa Kula kwani kila mwananchi atafikiwa bila kujali ni wa hali gani kiuchumi ambapo baadhi yao wataendelea kutambuliwa kupitia mpango wa kaya masikini (TASAF)
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: