SAUTI YETU FOUNDATION YAGAWA VITI MWENDO 11 KWA WENYE ULEMAVU KASULU KIGOMA
Автор: sauti yetu TV
Загружено: 2025-10-20
Просмотров: 165
Описание:
SAUTI YETU ONLINE TV,,,,WORLD WIDE,,,Ni katika ghafra iliyobebwa na tukio la ugawaji viti mwendo kwa watoto wenye uhitaji maalum iliyofanyika katika shule ya secondary mbogwe ilyopo harimashauri ya Mji wa kasulu mkoani kigoma zoezi hilo lililoandaliwa na kuendeashwa na tasisi ya sauti yetu foundation
Kaimu mkurungenzi wa tasisi hiyo Raphael mabula akiwasilisha ripoti ya ghafura amesema mradi huo wa ugawaji mwendo umelenga kuwawezesha watu wenye ulemavu ili waweze kushiriki katika shughuri za kiuchumi kijamii na kielimu..#wasafi #utvonline #azamtv #tbc #bbcswahili #albayaan
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: