WANAWAKE WAZIMIA MAZISHI YA MKAPA, NI BAADA YA KUPIGWA MIZINGA 21
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2020-07-29
Просмотров: 3059
Описание:
Ni mizinga 21 iliyokuwa ikipigwa maalum kwa ajili ya kutoa heshima kwa Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Hayati Benjamini Mkapa baada ya mwili wake kuhifadhiwa katika nyumba yake ya milele.
Hali ya sintofahamu ikajitokeza mara baada ya watu kadhaa kuzimia kwa hofu ya mizinga hiyo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: