INASIKITISHA: ASLAY Amlilia Marehemu Mama Yake Stejini, Ashindwa Kujizuia (VIDEO)
Автор: BONGO VIBE
Загружено: 2026-03-13
Просмотров: 23538
Описание:
Katika hali ya simanzi na inasikitisha, msanii Aslay ameshindwa kujizuia na amlilia marehemu mama yake akiwa stejini wakati akitumbuiza mashabiki wake. Ni tukio ambalo limewaacha wengi na huzuni baada ya Aslay kumuomba msamaha mama yake hadharani.
Hakikisha ume-subscribe BONGO VIBE ili kupata habari zote za burudani, mahojiano, na matukio ya wasanii wako unaowapenda hapa nchini Tanzania. "We Make You Vibe."
#bongovibe
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: