ZIARA YA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI RUANGWA MKOA WA LINDI.
Автор: Ikulu Tanzania
Загружено: 2019-10-15
Просмотров: 6124
Описание: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli ambaye ameongozana na Mkewe Mama Janeth Magufuli tarehe 15 Oktoba, 2019 anaendelea na ziara yake Mkoani Lindi ambapo atazindua barabara za Mji wa Ruangwa, ataweka jiwe la msingi la ujenzi wa ghala la mazao la Kijiji cha Lipande Wilayani Ruangwa na atahutubia mkutano wa hadhara Mjini Ruangwa Mkoani Lindi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: