ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

KWA UCHUNGU MUME, WATOTO WAKIMUAGA MCHUNGAJI WA KKKT , WENGINE WASHINDWA KUJIZUIYA WAANGUA VILIO

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2024-08-09

Просмотров: 20689

Описание: Vilio na simanzi vimetawala katika Usharika wa Kisamo, Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), wakati wa kuaga mwili wa Mchungaji Kantate Munisi ambaye atazikwa leo usharikani hapo.
Mapema leo Ijumaa Agosti 9, 2024 wakati mwili wa mchungaji huyo ukiagwa kanisani hapo, mamia ya waombolezaji waliofika kushiriki ibada ya maziko, walishindwa kujizuia kulia huku wengine wakianguka kutokana na kuishiwa nguvu.
Ibada hiyo ambayo imehudhuriwa na wachungaji kutoka maeneo mbalimbali ikiwemo Dayosisi ya kaskazini alikokuwa akihudumu na Dodoma alikoanzia huduma, pia imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa taasisi dini na Serikali.
Munisi aliyekuwa mchungaji kiongozi wa usharika wa Kimashuku, pamoja na mzee wa usharika wa kanisa hilo, Laban Kweka walifariki dunia kwa ajali Agosti 4, mwaka huu baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka katika uimbaji wa kanda usharika wa Gezaulole wilayani Hai, kugongwa na basi.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro Agosti 5, 2024, Simon Maigwa ajali hiyo ilitokea Jumapili Agosti 4, mwaka huu katika eneo la Kimashuku, kata ya mnadani wilaya ya Hai, mkoani humo, wakati mchungaji huyo akikatiza barabara upande wa kulia kuingia kanisani kwake.
Aidha, Kamanda Maigwa amesema dereva wa basi hilo amekamatwa na taratibu za kisheria zitachukuliwa, kwa kuwa alifanya uzembe kuyapita magari mengine bila kuchukua tahadhari.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
KWA UCHUNGU MUME, WATOTO WAKIMUAGA MCHUNGAJI WA KKKT , WENGINE WASHINDWA KUJIZUIYA WAANGUA VILIO

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

BWANA HARUSI AFARIKI SIKU 5 KABLA ya NDOA - BIBI HARUSI AVAA SHELA AKISHUHUDIA MWILI wa MPENZI WAKE

BWANA HARUSI AFARIKI SIKU 5 KABLA ya NDOA - BIBI HARUSI AVAA SHELA AKISHUHUDIA MWILI wa MPENZI WAKE

Выйдет 3 кг каловых камней! Мягкая чистка кишечника дома (Стоит копейки).

Выйдет 3 кг каловых камней! Мягкая чистка кишечника дома (Стоит копейки).

VIDEO: TAZAMA MAZISHI YA MMILIKI WA MABASI YA SAULI HUKO KIJIJINI KWAO GODIMA, FAMILIA YAMLILIA

VIDEO: TAZAMA MAZISHI YA MMILIKI WA MABASI YA SAULI HUKO KIJIJINI KWAO GODIMA, FAMILIA YAMLILIA

ALLY KAMWE AKUBALI YAISHE ATANGAZA KIHAMA KUELEKEA DERBY RASMI ITAPIGWA AMAAN COMPLEX ZANZIBAR

ALLY KAMWE AKUBALI YAISHE ATANGAZA KIHAMA KUELEKEA DERBY RASMI ITAPIGWA AMAAN COMPLEX ZANZIBAR

MAJONZI: Mazishi ya Aliyekufa siku ya Ndoa, Yatikisa Moshi!

MAJONZI: Mazishi ya Aliyekufa siku ya Ndoa, Yatikisa Moshi!

SHUHUDIA KWAYA ZILIZOSHINDA KTK KILELE CHA MASHINDANO MAKUBWA YA UIMBAJI NGAZI YA DAYOSISI15-10-2023

SHUHUDIA KWAYA ZILIZOSHINDA KTK KILELE CHA MASHINDANO MAKUBWA YA UIMBAJI NGAZI YA DAYOSISI15-10-2023

Mwanamke auawa Tabora, afichwa uvunguni

Mwanamke auawa Tabora, afichwa uvunguni

RISALA YA MCH. KANTATE, IMEJAA MEMA ALIYOYAFANYA

RISALA YA MCH. KANTATE, IMEJAA MEMA ALIYOYAFANYA

Открытие Варбурга: 4 переключателя, которые мешают раку расти | Здоровье с Доктором

Открытие Варбурга: 4 переключателя, которые мешают раку расти | Здоровье с Доктором

Jinsi ya Kupika Chapati Laini za Kusukuma|Soft Chapati|You have flour, salt, water at home make this

Jinsi ya Kupika Chapati Laini za Kusukuma|Soft Chapati|You have flour, salt, water at home make this

MCHUNGAJI HANANJA AMTAJA MASTAI WA KKKT KIMARA

MCHUNGAJI HANANJA AMTAJA MASTAI WA KKKT KIMARA

Ifahamu biashara ya Maua inavyobadilisha maisha ya watu

Ifahamu biashara ya Maua inavyobadilisha maisha ya watu

MBOWE,CHALAMILA,MCHUNGAJI KIMARO WANENA HAYA MSIBANI /BABA MZAZI WA HALIMA MDEE AFUNGUKA

MBOWE,CHALAMILA,MCHUNGAJI KIMARO WANENA HAYA MSIBANI /BABA MZAZI WA HALIMA MDEE AFUNGUKA

ЛЕРМОНТОВ БЫЛ МОНСТРОМ! СТРАШНАЯ ПРАВДА О ГЕНИИ РУССКОЙ ПОЭЗИИ

ЛЕРМОНТОВ БЫЛ МОНСТРОМ! СТРАШНАЯ ПРАВДА О ГЕНИИ РУССКОЙ ПОЭЗИИ

1. UPONYAJI KWA WALIOVUNJIKA MOYO | Mwl. Isaac Javan

1. UPONYAJI KWA WALIOVUNJIKA MOYO | Mwl. Isaac Javan

VIDEO: ENEO la AJALI ILIYOUA WANAKWAYA 5 wa KKKT - MAJERUHI WASIMULIA -

VIDEO: ENEO la AJALI ILIYOUA WANAKWAYA 5 wa KKKT - MAJERUHI WASIMULIA -"NIMESHTUKIA NIPO DARAJANI"..

ВРАЧИ БЫЛИ В ШОКЕ : ОТОМСТИЛА НАСИЛЬНИКАМ И ЗАБРАЛА ДОСТОИНСТВО!

ВРАЧИ БЫЛИ В ШОКЕ : ОТОМСТИЛА НАСИЛЬНИКАМ И ЗАБРАЛА ДОСТОИНСТВО!

ЭТИ ФАЙЛЫ ПОТРЯСЛИ МИР: ДЕЛО ЭПШТЕЙНА

ЭТИ ФАЙЛЫ ПОТРЯСЛИ МИР: ДЕЛО ЭПШТЕЙНА

Masowa Ewakuacja w Rosji: 600 000 Uwięzionych w Lodowej Panice!

Masowa Ewakuacja w Rosji: 600 000 Uwięzionych w Lodowej Panice!

ЧТО СКРЫВАЕТ ДНО БАЙКАЛА? КУСТО НАШЕЛ ЭТО И УМЕР ЧЕРЕЗ 3 ДНЯ...

ЧТО СКРЫВАЕТ ДНО БАЙКАЛА? КУСТО НАШЕЛ ЭТО И УМЕР ЧЕРЕЗ 3 ДНЯ...

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]