SHIVYAWATA WAJA NA KAULI, KUELEKEA UCHAGUZI
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2024-08-13
Просмотров: 77
Описание:
#ikulumawasiliano #ikuluzanzibar #ccm #samiasuluhuhassan #habarimaelezo #ktnnews #wizarayahabari #wizarayakilimo#tanzania
Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za mitaa Shirikisho la watu wenye Ulemavu limesisitiza uhitaji wa mchakato huo kuwa jumuishi na kutoa wito kwa serikali kuhakikisha kundi hilo linawekewa mazingira rafiki fikivu huku wakisisitiza utekelezaji wa kanuni zitakazoongoza Uchaguzi huo ambazo zinakataza aina zozote za ubaguzi na unyanyapaa kwa watu wenye ulemavu.
Akizungumza katika Kongamano la Kitaifa la watu wenye Ulemavu lililojumuisha zaidi ya watu wenye Ulemavu 600 kutoka jijini Dar es Salaam lililojikita katika kuwajengea uwelewa watu wenye Ulemavu katika masuala la uchumi.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: