DOFU254_NARUDI KWAKO (OFFICIAL AUDIO) VEVOSTAN
Автор: DOFU254
Загружено: 2026-01-29
Просмотров: 64
Описание:
NARUDI KWAKO – DOFU254 ni wimbo wa gospel unaoelezea safari ya kurudi kwa Mungu baada ya kupitia majaribu, maumivu na kuchoka na mambo ya dunia. Ni ujumbe wa toba, matumaini na upendo wa Mungu usioisha. Kama umewahi kupotea njia au kuhisi umelemewa, wimbo huu ni maombi na kilio cha moyo kinachosema: Bwana, narudi kwako tena.
Sikiliza, ubarikiwe, na usisahau kushare na wengine ili ujumbe uwafikie wengi zaidi.
🎵 Msanii: DOFU254
🎚️ Producer: Q-Liser
🙏 Genre: Gospel
📍 Message: Toba • Tumaini • Neema
Subscribe, like na share kusaidia kazi ya injili isonge mbele.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: