Polycarp Kardinali Pengo Akijibu Waraka Mzito wa Baraza la Maaskofu
Автор: CHAMPION HABARI
Загружено: 2018-03-25
Просмотров: 27651
Описание:
SUBSCRIBE: / kidanistars
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo kuelekea siku ya pasaka amefunguka mazito kwa baadhi ya Maaskofu kuchanganya Dini na Siasa.
BARAZA la Maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wametoa waraka mzito wa Sikukuu ya Pasaka ambao umesainiwa na maaskofu 27 waliokutana Machi 15, 2018
SUBSCRIBE: / kidanistars
Katika ujumbe huo maaskofu, wamegusia masuala makuu matatu ambayo ni jamii na uchumi, maisha na siasa na mambo mtambuka yanayohusiana na hayo ikiwemo demokrasia, huku wakisisitiza Katiba mpya ya wananchi ni suluhu ya yote. Pia, masuala ya wanasiasa kuhama chama kimoja na kwenda kingine pamoja na mabadiliko ya mara kwa mara ya mfumo wa elimu kwamba una athari kwa Taifa.SUBSCRIBE: / kidanistars
SUBSCRIBE: / kidanistars
SUBSCRIBE: / kidanistars
SUBSCRIBE: / kidanistars
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: