Magufuli: Marais wa EAC wamefanya kosa sana kunichagua mwenyekiti
Автор: JamiiForums
Загружено: 2016-03-02
Просмотров: 393978
Описание: Rais Magufuli baada ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa Afrika Mashariki, ameiambia sekretarieti ya Afrika Mashariki kuwa marais wa jumuiya wamefanya kosa kubwa sana kumchagua kwani atawafatilia na kuwataka kubana matumizi kwani nchi zote ni maskini.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: