Mkasa wa Awesu Awesu na baba yake mpaka mama yake kuingilia kati
Автор: Azam TV
Загружено: 2024-01-02
Просмотров: 5419
Описание:
#MapinduziCup2024: Baba yake Awesu Awesu yule wa KMC, asimulia walivyowahi kucheza timu moja na mwanae na yeye (baba) kuwa Mfungaji Bora huku mwanae akiibuka Mchezaji Bora.
Mzee awesu akiri kuwahi kumchezea rafu mwanae mpaka mkewe (mama Awesu) akaenda kumtoa mwanae (Awesu Awesu) uwanjani.
Mahojiano haya yamefanywa na Mzee wa Soka Kijiweni, Jamal Abbas ‘Dodi’ ikiwa ni sehemu ya amshaamsha za #MapinduziCup2024.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: