Biashara ya kufundisha Online
Автор: How to Start Business Channel
Загружено: 2025-10-20
Просмотров: 103
Описание:
Unafahamu kuwa unaweza kupata pesa nyingi kwa kufundisha Online? Kama una taaluma ya engineering, uhasibu, ualimu, daktari etc. basi tumia taaluma yako kupata pesa nyingi kwa kufundisha Online. Video hii inaeleza jinsi unavyoweza kupata pesa nyingi kwa kufundisha Online
How to start business Channel tunatoa elimu ya kuanzisha na kuendeleza biashara, kwa vijana waliomaliza vyuo vikuu na wanataka kujiajiri. Tunatoa elimu ya jinsi ya kuanzisha na kuendeleza biashara, elimu ya hesabu za biashara na uwekezaji katika biashara. Pia tunatoa elimu ya ujasiriamali kupitia vitabu, videos, website, Online School na Online Television
1. Kupata eBooks, wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
2. Link ya Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab...
3. Website yetu: https://www.tanbusiness.co.tz
4. Mitandao yetu ya kijamii:
Facebook: / tanbusiness
Instagram: / tanbusiness
YouTube: / alimwambola
#howtostartbusiness #businessstartup #alimwambola #BiasharaTZ #YoungEntrepreneurs
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: