ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Dalili za Presha kwa Mjamzito au Shinikizo kubwa la Damu kwa Mjamzito | Dalili za Kifafa cha Mimba!

Автор: Dr. Mwanyika

Загружено: 2020-12-01

Просмотров: 19838

Описание: Presha ya Ujauzito, Presha ya Mimba, Shinikizo kubwa la Presha kwa Mjamzito, Kifafa Cha Mimba, Kifafa Cha Ujauzito, Presha kubwa kwa Mjamzito, Kifafa Cha Mimba Miezi Mitatu ya katikati, Kifafa Cha Mimba Miezi Mitatu ya mwishoni mwa Ujauzito, Presha ya Ujauzito na Dr.Mwanyika

Kuna baadhi ya akina Mama wajawazito huweza kupata shinikizo kubwa la Damu na wakaishia kupata kifafa cha Mimba katika kipindi fulani cha Ujauzito, 70% ya Wajawazito hao huwa ni wale wanaopata Ujauzito kwa mara ya kwanza uzeeni (Miaka 35 kwenda juu) au katika umri mdogo chini ya miaka 21.

Presha kutokana na Ujauzito/Mimba hujulikana kama ongezeko la shinikizo la damu kuanzia 140/90mmHg kuanzia wiki ya 20 (Miezi 5) kwenda juu kwa Mama ambaye alikuwa hana Presha kabla ya Ujauzito na huweza kupungua katika wiki 4 au 6 mara baada ya kujifungua na hata kama ikiendelea kuwepo basi huwa haizidi wiki 12 tokea Mama ajifungue.

Vihatarishi vinavyopelekea Mama/Dada kuwa na Presha kubwa katika Ujauzito wake.

1. Mimba ya kwanza Uzeeni au Utotoni!

2. Historia ya Presha kwa Mama yake mzazi.

3. Magonjwa ya kurithi mfano upungufu wa Protini C na S au (APS).

4. Matatizo kutokana na Kondo la nyuma mfano Mama mjamzito mwenye Kisukari au Mapacha.

5. Uzito Mkubwa / Fetma.

6.Baba Mpya.

Dalili za Presha kutokana na Ujauzito ni kama;

1. Kuongezeka kwa presha zaidi ya 140/90mmHg.

2. Maumivu ya kichwa yasiyopungua kwa kutumia dawa za maumivu.

3. Kuvimba Miguu ghafla au mwili mzima ikihusisha usoni.

4. Kupata shida ya kuona au kuona wenge.

5. Maumivu ya tumbo upande wa kulia sehemu ya juu!

6. Kukojoa Mkojo kidogo.

7. Kupata shida kwenye damu kwa sababu ya upungufu wa seli zinazogandisha Damu.

8. Kuongezeka kwa Protini kwenye Mkojo.

9. Kushindwa kupumua.

KUMBUKA; Uonapo Dalili hizo wakati wa Ujauzito basi unatakiwa kupata ushauri kutokwa kwa Mkunga au Daktari ili kuhakikisha unakuwa na Afya!

NB: Ukitaka kujifunza zaidi ni fuatilie YouTube kwa jina la Dr.Mwanyika au bonyeza link hapo 👇👇👇👇
   / drmwanyika  

Ukiwa unamaswali unaweza kuuliza hapa chini (kwenye comments za youtube).

Subscribe,Comment and Share

JapideAfya_Services
Your Health is Our Health
Instagram as @JapideAfya_Services
Facebook page as @JapideAfya_Services
©Dr.Mwanyika.

#MamaAfya
#PreshaMjamzito
#JapideAfya_Services

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Dalili za  Presha kwa Mjamzito au Shinikizo kubwa la Damu kwa Mjamzito | Dalili za Kifafa cha Mimba!

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Sikiliza Dalili za Kifafa cha Mimba na Madhara Yake kwa Mjamzito?

Sikiliza Dalili za Kifafa cha Mimba na Madhara Yake kwa Mjamzito?

Je Mtoto kucheza zaidi Tumboni mwa Mjamzito huwa ni hatari? | Je husababishwa na nini?

Je Mtoto kucheza zaidi Tumboni mwa Mjamzito huwa ni hatari? | Je husababishwa na nini?

Presha ya Mimba. Jinsi ya Kujikinga Usipate. Zingatia haya

Presha ya Mimba. Jinsi ya Kujikinga Usipate. Zingatia haya

#LIVE :  [10.01.2026] OPERATION KOMBOA FAMILIA ( MAOMBI 12)

#LIVE : [10.01.2026] OPERATION KOMBOA FAMILIA ( MAOMBI 12)

Mtoto kucheza tumboni | Ni sababu zipi hupelekea Mtoto kutocheza au kuacha kucheza tumboni??

Mtoto kucheza tumboni | Ni sababu zipi hupelekea Mtoto kutocheza au kuacha kucheza tumboni??

Dalili hatari kwa Mjamzito | Dalili za hatari kwa Mama Mjamzito

Dalili hatari kwa Mjamzito | Dalili za hatari kwa Mama Mjamzito

Je Dalili ZA Mtoto Tumboni Kushuka Kwenye Nyonga Zipi?? | Dalili 11 ZA Mtoto Kushuka Kwa Mjamzito!

Je Dalili ZA Mtoto Tumboni Kushuka Kwenye Nyonga Zipi?? | Dalili 11 ZA Mtoto Kushuka Kwa Mjamzito!

ЧТО ПИТЬ, Чтобы Быстро Улучшить Кровообращение В Ногах? После 60!

ЧТО ПИТЬ, Чтобы Быстро Улучшить Кровообращение В Ногах? После 60!

Kutapika Wakati WA Uchungu WA Kuzaa! | Sababu Halisi NA Suluhisho Zake

Kutapika Wakati WA Uchungu WA Kuzaa! | Sababu Halisi NA Suluhisho Zake

Je ni kwa nini Mapigo ya Moyo kwenda mbio kwa Mjamzito?? | Mapigo ya Moyo kwenda mbio kwa Mjamzito??

Je ni kwa nini Mapigo ya Moyo kwenda mbio kwa Mjamzito?? | Mapigo ya Moyo kwenda mbio kwa Mjamzito??

Tajny plan Jakuba Bermana, który zmienił Polskę

Tajny plan Jakuba Bermana, który zmienił Polskę

KITANA [EP 10] Traditional Movie ❣️❣️❣️ #pasarbrand #kiparabrand #movie #film

KITANA [EP 10] Traditional Movie ❣️❣️❣️ #pasarbrand #kiparabrand #movie #film

DUNIA (Ep 143)

DUNIA (Ep 143)

Prezydent RP Karol Nawrocki do kibiców na Jasnej Górze: Jestem jednym z was | Pielgrzymka kibiców

Prezydent RP Karol Nawrocki do kibiców na Jasnej Górze: Jestem jednym z was | Pielgrzymka kibiców

Damu zaidi ya 16g/dL kwa Mjamzito na Madhara yake!

Damu zaidi ya 16g/dL kwa Mjamzito na Madhara yake!

Usijifungue Kawaida Una Mshono NA Hujui Hili!! Ulijifungua KWA Upasuaji?

Usijifungue Kawaida Una Mshono NA Hujui Hili!! Ulijifungua KWA Upasuaji?

Chemicola/Grand Malt Inaongeza Damu Ktk Ujauzito? | Mirinda au Grand Malt Inaongeza Damu?

Chemicola/Grand Malt Inaongeza Damu Ktk Ujauzito? | Mirinda au Grand Malt Inaongeza Damu?

KIMENUKA;DUDUBAYA AMJIBU MWIJAKU AACHIA MABOMU 4 AMCHANA LIVE MADUDU YOTE LIVE.

KIMENUKA;DUDUBAYA AMJIBU MWIJAKU AACHIA MABOMU 4 AMCHANA LIVE MADUDU YOTE LIVE.

SMAŻONA CEBULA NA KANAPKI PRZYSMAK PRL

SMAŻONA CEBULA NA KANAPKI PRZYSMAK PRL

Mambo 15 Ya Kuzingatia Kabla Ya Kubeba Mimba/Ujauzito 2026 Kwa Mama Yoyote!

Mambo 15 Ya Kuzingatia Kabla Ya Kubeba Mimba/Ujauzito 2026 Kwa Mama Yoyote!

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]