HAMIS AHUKUMIWA MIAKA 6 JELA KWA KUMKATA MASIKIO MTOTO WA JIRANI YAKE
Автор: ufmradiotz
Загружено: 2025-10-07
Просмотров: 1036
Описание:
Hamis Abdallah, mkazi wa Babati amehukumiwa kifungo cha miaka sita na faini ya shilingi milioni moja kwa kosa la kumkata masikio yote mawili, kumchanja kifuani na kumbamiza kichwa ukutani mtoto wa jirani yake mwenye umri wa miaka 13.
Mhariri | @rajjmsangi
#UFMUpdates
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: