UKWELI KUHUSU MAISHA YA ULAYA ZAMANI NA SASA-GEORGE MWANYIKA-PAMBAZUKA ON AIR-EPISODE 3
Автор: Pambazuka On Air
Загружено: 2026-02-19
Просмотров: 101
Описание:
Katika episode hii tumepata fursa ya kufanya mazungumzo na bwana George Mwanyika, mwanzilishi wa Bambataa Kologne nchini Ujerumani. Ametushirikisha safari yake ya maisha tangu alipowasili Ujerumani, changamoto alizokutana nazo, pamoja na hatua mbalimbali alizopitia hadi kufikia mafanikio yake ya sasa.
Vilevile, ameeleza kwa undani kuhusu kuanzishwa kwa sherehe za Bambataa – jukwaa maalum lenye lengo la kuleta burudani, kuunganisha na kuimarisha mshikamano wa jamii ya watu wenye asili ya Afrika Mashariki, hususan Waswahili wanaoishi ughaibuni.
Usikose kutazama episode hii ili kujifunza, kuhamasika na kupata burudani kutoka kwa simulizi ya kipekee na yenye kugusa moyo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: