OfficialWike - NAKOSEA ( Official Music Audio )
Автор: WIKE
Загружено: 2022-10-09
Просмотров: 1695
Описание:
Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
https://linktr.ee/offcialwike
https://ffm.to/officialwike
Musician, Performed by OfficialWike
Follow OfficialWike on:
https://linktr.ee/offcialwike
/ officialwike
/ officialwike_
/ wikeofficial
/ angelamos83
#NAKOSEA #OfficialWike
_______________________________________________________________________________
Lyrics=======
VERSE 1
Naona nashindwa kuyavumilia aaah, mana yamenifika hapa hapa aaah aaah
Eti unaringa unajisikia ahaa, hapo ndipo napo ogopa kukwambia kwamba
Mapenzi penzi niliyonayo kwako mkaka , hata sijielewi nooo ooh ooh ooohh
Hafu siwezi kujizuia ingali nataka na, nakupenda sana sanaaa ama nakosea aah
CHORUS
nakosea x3 sema babaaa
Kama nakoseaa
Nakosea x3 sema babaaa
VERSE 2
Si inaeleweka kwamba mwanamke hawezagi hata kusema, hatakama akipenda maumivu yanabaki moyoni anasonona,
Ila mimi siwezi kuficha hisia mana penzi kikoozi naona litaniumbua aaahhhaaa
Mapenzi penzi niliyonayo kwako mkaka , hata sijielewi nooo ooh ooh ooohh
Hafu siwezi kujizuia ingali nataka na, nakupenda sana sanaaa ama nakosea aah
CHORUS
nakosea x3 sema babaaa
Kama nakoseaa
Nakosea x3 sema babaaa
Chechecheche x3 kama nakokokosea
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: