Malori mapya 50 ya Sinotruk kuongeza nguvu za kuwafikishia huduma na bidhaa za Azam wateja nchini
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2024-07-20
Просмотров: 1842
Описание:
Kampuni za Said Salim Bakhresa (SSB) zimesema zinaendelea kuweka mazingira bora ya kuwafikishia wateja wao wa ndani na nje ya nchi huduma za bidhaa zake kwa wakati.
Mkuu wa Fedha wa SSB, Ammar Yunus amesema hayo leo Julai 19 jijini Dar es Salaam wakati SSB ikipokea malori 50 aina ya Sinotruk yaliyotengenezwa na kampuni ya Sinotruk Limited ya China.
#AzamTVUpdates
Wahariri || Tuya Ibrahim, @moseskwindi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: