Mahakama ya upeo yapiga marufuku ombi la kusitisha kesi ya Gachagua
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-01-30
Просмотров: 13908
Описание: Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua amepata pigo baada ya mahakama ya upeo kutupilia mbali ombi la kutaka kusitisha kesi ya kubaduliwa kwake katika mahakama kuu. Mahakama hiyo imesema kuwa haina mamlaka ya kuingilia kesi iliyoko katika mahakama za chini. Majaji pia walitupilia mbali ombi la bunge la kitaifa kutaka rufaa ya Gachagua itemwe
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: