HOW TO DO EYEBROWS / KUPAKA WANJA BILA KUTINDA NYUSI!!!!!
Автор: tunu_designs
Загружено: 2020-02-03
Просмотров: 19108
Описание:
Hello my beautiful people. Leo nitakuonesha namna gani unaweza kupaka wanja wako bila kutinda nyusi kwa dakika chache tu, na hata kama umetinda nyusi utafuta process hizo hizo na wanja wako utakaa sawa.
Vifaa ambavyo utatakiwa kuwa navyo ni pamoja na
💜wanja wa brown, unaweza kutumia gel au pencil ila hakikisha ni wanja wa brown (light brown au dark brown)
💜spooly brush
💜Concealear brush
💜sponge
💜concealer
Kwa mawasiliano zaidi
+255719643402
#makeupbytunu
CONTACTS
If you're wearing a company and would like to do a business with me (like review of Products) you can contact me at [email protected],if you want to place your ordee for face beat please contact me via my email on +255719643402 or +255746647797.
SOCIAL MEDIA
🔛 instagram @tunu_designs
🔛 facebook @tunu mo
🔛 snapchat @tunu_designs
ABOUT
my name is Tunu khatibu Mohammed and i live in Tanzania. I have a big passion for makeup and love inspiring other people using my face as my canvas. Subscribe to my channel if you like to get a notification whenever i apload a new video.
DISCLAMER.
This video is NOT sponsered. Besides that, I i will never do a paid promotion on a product which i not truly love. I love you guys.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: