Mama wa Watoto Njiti Aishukuru Muimbili kwa Kuokoa Maisha ya Wanaye
Автор: Muhimbili TV
Загружено: 2026-01-23
Просмотров: 332
Описание:
Wakati serikali ikiendelea na jitihada za kutokomeza vifo vya mama na mtoto ifikapo mwaka 2030, Hospitali ya Taifa Muhimbili imeendelea kutekeleza kwa vitendo na kuokoa maisha ya Watoto wanaozaliwa kabla ya wakati na kufika hospitalini hapo kupata matibabu.
Mmoja wa mashuhuda hao ni Neema Gabriel mkazi wa Chamazi Jijini Dar es Salaam, ambaye alijifungua Watoto mapacha kabla ya wakati na kukata tamaa, lakini jitihada zilizofanywa na madaktari na wauguzi zilifanikiwa kuokoa uhai wa Watoto hao.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: