Soko Kuu Jipya la Kimataifa la Mwanza na mapinduzi ya biashara na uchumi kanda ya ziwa
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2024-04-18
Просмотров: 718
Описание:
Muonekano wa Mji wa Mwanza utaendelea kubadilika kutokana na ujenzi wa miundombinu mpya inayochagiza maendeleo ya miji.
Tangu alipoingia madarakani miaka mitatu iliyopita, Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mengi ya kimaendeleo ikiwemo kujenga miundombinu na kuboresha huduma za kijamii.
Ujenzi wa soko hili kubwa la Mwanza ambao unagharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 25 unatajwa kuwa mkombozi kwa wafanyabiashara likiwa na maduka 400 na nafasi ya kutosha wafanyabiashara zaidi ya 1,400 pamoja na maegesho ya magari 192.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: