MOTO WATEKETEZA GHALA LA KIWANDA CHA MKONGE
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2025-03-03
Просмотров: 178
Описание:
Moto ambao chanzo chake hakijajulikana mara moja umezuka katika moja ya ghala la kiwanda cha kuchakata zao la Mkonge cha Kampuni Evr Max Limited, kilichopo Mtaa wa Reli, Kata ya Kingo, Manispaa ya Morogoro, ambapo mkonge uliokuwa umehifadhiwa kiwandani hapo na mashine vyenye jumla ya zaidi ya shilingi milioni 600 vimeteketea.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: