HALIMASHAURI YA MANISPAA YA ILEMELA IMEKUSANYA JUMLA YA SHILINGI BILLION 7
Автор: BONGO PLAY TELEVISION
Загружено: 2026-01-29
Просмотров: 33
Описание:
Baraza la Madiwani halmashauri ya manispaa ya ilemela imepokea taarifa ya robo ya pili ya kipindi cha Oktoba hadi Desemba 2025/2026 .
Akisoma taarifa hiyo mbele ya Baraza la Madiwani hao kaimu mkurugenzi halmashauri ya manispaa ya ilemela Dkt. Maria Kapinga, amesema kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2025/2026 halmashauri ilihidhinisha kukusanya shilingi billion 16 .4 katika baje ya ndani ambapo hadi kufikia Disemba 31,2025 halmashauri imefanikiwa kukusanya jumla ya shilingi bilioni 7 sawa na asilimia 42.9 la lengo la mwaka .
Kwa upande wake Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilemela Bi Sarah Paul Nghwani amewata Madiwani wote kuhakikisha wanafuata yale yote yaliyoezwa na viongozi wa chama na serikali waweze kuyafuata na kuyatekeleza .
Nao Baadhi ya Madiwani akiwepo Diwani Waka Kata ya Nyamhongolo Safia Mkama na Diwani Wa Kata ya Pasiansi Regina Lubala Wameiyomba Serikali kutatua tatizo la uhaba wa Mashine za kutolea vitambulisho vya Taifa (NIDA) ili kupunguza Msongamano na Changamoto ya Upatikanaji wa vitambulisho hivyo katika Maeneo Mbalimbali ya Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: