KIJIJI ANAPOTOKA MPANGO WANAKIJIJI NI FULL SHANGWE “TUNASIKIA KAPANDISHWA CHEO"
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-03-30
Просмотров: 57085
Описание: Ayo TV imefunga safari hadi katika Kijiji Cha kasumo Wilaya ya Buhigwe anapozaliwa Dkt Philip Mpango makamu wa Rais mteule, Wananchi wa Kijiji chicho ambapo Dkt Mpango kabla ya kuteuliwa kua Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania alikua ni Mbunge wa Jimbo Hilo la Buhigwe wameamua kutoa Salamu za pongezi kwa Kiongozi wao kwa kupata nafasi nyingine ya juu kuongoza Taifa na wameonyesha furaha kwa kilichotokea huku wengine wakimshukuru Mungu kwa Jambo hilo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: