Mwanamke mwenye ndevu alivyoombwa ndevu zake zimtajirishe mtu kishirikina
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2017-10-13
Просмотров: 715934
Описание:
Mwanamke kuwa na ndevu si kitu cha ajabu ila kwa huyu Mwanamke ambaye anaishi Mkoani Mbeya Christina ameeleza kukutana na changamoto nyingi baada ya kuwa na ndevu kidevu kizima hali iliyopelekea kuombwa ndevu zake kwa malengo ya kumpa mtu utajiri.
Ameeleza kuwa ndevu hizo pia zimemsababishia watu wasiomfahamu kumsema vibaya kuwa ana kiburi, na kuwa anajifanya mwanaume sababu ya ndevu zake.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: