NAMNA YA KUSALI ROZARI YA HURUMA YA MUNGU.
Автор: Valeriana Simon
Загружено: 2022-03-26
Просмотров: 96598
Описание:
Ibada hii ni rahisi sana kusali, na ni rozari fupi, inachukua kama dakika 7 hadhi 8 tu.
Rozari ya Huruma ya Mungu ina nguvu kubwa sana sana. ni Sala ya Kikuhani, ambapo tunamtolea Mungu Baba,
Mwili na damu.
Roho na Umungu wa Mwanaye mpenzi sana Yesu Kristo, kwa kulipia dhambi zetu na dhambi za dunia nzima! tunatolea sadaka ya KALVARY!!
Mojawapo ya ahadi za Yesu kwa wale watakaosali rozari hii kwa imani na matumaini, ni kwamba, lolote tutakaloomba, atalitimiza, alimradi liendane na mapenzi yake.
MAWASILIANO / CONTACTS
Email: [email protected]
Youtube: Valeriana Simon
Facebook: Valeriana Mayagaya
Instagram: Valeriasimon783
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: