MANNY PACQUIAO KUGOMBEA URAIS UFILIPINO, DURTETE MAKAMU WAKE "NIPO TAYARI KUPIGANA NJE YA ULINGO"
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-09-20
Просмотров: 2727
Описание:
Bondia maarufu kutoka Ufilipino Manny Pacquiao ametangaza rasmi kuwa atagombea Urais wa Nchi hiyo kwenye Uchaguzi wa Mwakani huku akisema atahakikisha anatokomeza rushwa, umasikini na kuwa na Serikali yenye uwazi.
Pacquiao (42) ambaye ni Seneta nchini humo ametoa kauli hiyo baada ya kukubaliana na uteuzi wa yeye kuwania Urais uliofanywa na Chama chake cha PDP- Laban ambacho ni Chama tawala kilichomuweka Durtete madarakani Mwaka 2016.
"Mimi ni Mpiganaji kuanzia ulingoni na hata nje ya ulingo, nipo tayari kupigana kwa ajili ya Watu wa Ufilipino" -------Manny
Itakumbukwa Rais wa sasa wa Ufilipino Rodgrido Duterte alikubali kuwa mgombea wa Chama tawala wa nafasi ya Makamu wa Urais katika uchaguzi huo wa mwaka ujao na kama Chama chao kitafanikiwa kushinda huenda Pacquiao atakuwa Rais na Durtete Makamu wa Rais.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: