Msako wa saruji 'wachachamaa' wilayani Kalambo, Rukwa
Автор: Azam TV
Загружено: 2020-11-26
Просмотров: 649
Описание:
Wafanyabiashara wanaotuhumiwa kuficha Saruji wilayani Kalambo, Rukwa huenda wakaingia matatani baada ya msako kuanza dhidi yao.
Hatua hiyo inakuja baada ya baadhi ya Wafanyabiashara kudaiwa kununua Saruji viwandani miezi mitatu iliyopita na kisha kuihifadhi kwa lengo la kupandisha bei ili wapate faida maradufu hali inayowaumiza wananchi.
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: